Na Vitus Matembo, Mbamba Bay |
..Nyasa inatarafa Tatu(3); Mpepo, Ruhekei na Ruhuhu.
..Nyasa inatakribani kata 18 ambazo ni;
*Lituhi: lituhi,kihune,mwera mpya,na ngingama.
*Mbaha;ndumbi,mbaha na lundu.
*Ngumbo; kihanga,ngumbo,mkili na Yola.
*Liuli; Liuli,puulu,Hongi,Nkalasi,Yumbu na Mkali.
*Kihagala;Mango,tumbi na kihagala.
*Lipingo;lundo,lipingo,Ngindo...
*MBAMBA BAY; mba bay,ndesule,ndengele,chinula na mbuyula.
*Kilosa;Kilosa,nangombo na likwilu.
*Kingelikiti
*Tingi
*Chiwanda; Chimate, Ng'ombo.
*Mtipwili;
*Luhangarasi
*Liparamba
*Liundi
*Mpepo
JUMLA YA WAKAZI kwa mujibu wa sensa 2012 ni WATU 146,000.
Shughuli yetu kubwa ni Kilimo,uvuvi,ufugaji na Biashara.
ZIWA NYASA NDIO NGUZO YETU YA KIMAENDELEO.
Karibuni Nyasa: Ijue Wilaya Ya Nyasa Kitakwimu >>>>> Download Now
ReplyDelete>>>>> Download Full
Karibuni Nyasa: Ijue Wilaya Ya Nyasa Kitakwimu >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Karibuni Nyasa: Ijue Wilaya Ya Nyasa Kitakwimu >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK