Nimewanasa
mwenyeeeeewee kwa kamera yangu. Msamvu Morogoro,wanauzia bidhaa abiria Wa
kwenye magari. Jana nilimnasa mmoja katika mgahawa uliopo maeneo Stand ya
daladala ya mjini kati moro nami nikawa mmoja wa wateja wake. Wakati sisi
tukiwashangaa wenzetu wanapiga hela wanaondoka. Vyuma vimepata grisi ya kizungu.
PICHA; Honorius Mpangala
No comments:
Post a Comment
Maoni yako