nimegundua ndiyo maana mnashindwa kuamua pale mnaita Ilala product safari moja huanzisha nyingine, ha ha ha kumbe sababu ya kodi wanayolipa, halafu likiwanda lipo maeneo ya wapita njia nakuomba muondoe basi jamani. hela ya kodi hiyo poa tu bora hata ile Oysterbay Pharmacy alikokuwa anakwenda yule jamaa kufisadi. halafu wanajenga likiwanda pacha lingine haohao wa Ilala product pale karibu na kile cha Chibuku. mmeliwa mwaka huu mtakunywa mpaka mkaukiwe nyongo. ndiyo maana yule daktari alipogundua nina damu nyingi akajifanya kuniuliza eti we mnyasa unakunywa pombe? ebo!! nilikunja uso kwa ghadhabu yaani alianguka kitini kwa taharuki jinsi uso ulivyoumbwa mikunjo. nyie kunyweni mpaka mlale vilabuni hasa huyo dada Yasinta siku ile alila mwalikoni? lakini hapa nyasa NO .mmm soni mwengaaaaaa
hapo kwenye kisiwa ndio unapoishi au
ReplyDeleteyaani nimependa sanamadhari ya blog yako.
ReplyDeletenilibahatika kufika mbinga ila ilikuwa pale mjini tu mwaka 2008.
Mungu akipenda dec mwaka huu nitakuwana siku 10 za kutembelea songea,tunduru na mbinga.
Kama tukiwa wazima basi natumaini nitakuja tena kuona mengi zaidi kunyumba.
salaaam
edo
Pazuri kweli huko kwenu. Bahati mbaya siye wanywa bia haturuhusiwi huko:-(
ReplyDeletendiyo kaka Simon haturuhusu wanywa bia na hata kaka Edo kama unakunywa usije ndugu oooh tafadhali lakini salama
ReplyDeleteBasi huko siyo sehemu ya kutembelea, Basi karibuni Ruhuwiko kwani huku hata myakaya unapatikana
ReplyDelete@Markus:Nitaongea na serikali pesa za kodi za bia zisiletwe huko:-)
ReplyDelete@Yasinta:Ruhuwiko Here we come:-)
karibuni sana tena tutacheza la lizombe mpaka asubuhi, mpaka ugimbi uishe
ReplyDeletenimegundua ndiyo maana mnashindwa kuamua pale mnaita Ilala product safari moja huanzisha nyingine, ha ha ha kumbe sababu ya kodi wanayolipa, halafu likiwanda lipo maeneo ya wapita njia nakuomba muondoe basi jamani. hela ya kodi hiyo poa tu bora hata ile Oysterbay Pharmacy alikokuwa anakwenda yule jamaa kufisadi. halafu wanajenga likiwanda pacha lingine haohao wa Ilala product pale karibu na kile cha Chibuku. mmeliwa mwaka huu mtakunywa mpaka mkaukiwe nyongo. ndiyo maana yule daktari alipogundua nina damu nyingi akajifanya kuniuliza eti we mnyasa unakunywa pombe? ebo!! nilikunja uso kwa ghadhabu yaani alianguka kitini kwa taharuki jinsi uso ulivyoumbwa mikunjo. nyie kunyweni mpaka mlale vilabuni hasa huyo dada Yasinta siku ile alila mwalikoni? lakini hapa nyasa NO .mmm soni mwengaaaaaa
ReplyDelete