weweeeee acha nyie wala siyo kihangamahuka bali kumpitimbi na kukingoli hamyambu? na kule mgazini,mhukuru,litabwasi,na huko madongo kuinama hawajambo maana kwingine hakuna hata majina
weeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna samaki nani kakwambia porojo hizo, na mshindwe mlege lege lege lege kama mlenda hakika hivi. sema unataka samaki aina gani maana huku hakuna samaki NCHANGA kama ndugu zetu kule tunduru na mtwara
sisi hapa Kihangimauka hatujambo kabisa sijui wewe kwa sasa tunajiandaa na kulima si unajua sisi tunakula kweli uwale na chikunde.
ReplyDeleteweweeeee acha nyie wala siyo kihangamahuka bali kumpitimbi na kukingoli hamyambu? na kule mgazini,mhukuru,litabwasi,na huko madongo kuinama hawajambo maana kwingine hakuna hata majina
ReplyDeleteBasi wa masimavalafu wanatoa salam maana umewasahau
ReplyDeletekumdunduwalo, ngingama,ruanda,lwilo,fokulendi,mgazini,kingoli,matiri, na huko wapi sijui mmm hawajambo
ReplyDeletelabda nyasa! hakuna samaki siku hizi
ReplyDeleteweeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna samaki nani kakwambia porojo hizo, na mshindwe mlege lege lege lege kama mlenda hakika hivi. sema unataka samaki aina gani maana huku hakuna samaki NCHANGA kama ndugu zetu kule tunduru na mtwara
ReplyDelete