Utalii ni sekta inayokua kwa kasi sana Duniani.Imechangia
ktk kukua kwa uchumi wa nchi nyingi sana,imeongeza ajira nyngi sana,zipo zile
za moja kwa moja na zingine ambazo si za moja kwa moja.
Sehemu zinazo wavutia sana watalii si mbuga za wanyama, si
milima,si mapango bali fukwe nzuri na tulivu za bahari na maziwa.
Uswisi inajulikana kama 'the playing ground of europe'
kutokana na ziwa dogo la Geneva,Visiwa caribean,Zanzibar,Mombasa na kadhalika
zimekuwa zikiwavutia sana watalii kutokana kuwa na fukwe zinazovutia.
ufukwe uliopo mjini Liuli.
Ziwa Nyasa ni moja ya maziwa safi bado halijaharibiwa na
shughuli za kibinadamu.Lina fukwe nzuri,safi na salama,maji meupe kwa ajili ya
michezo mbalimbali...kama,mashindano ya kuogelea,mbio za madau au maboti.
Watu wa Nyasa,ili nionekane mkweli kuhusu fukwe zetu mi
naonesha mfano-Ufukwe wa LIULI
No comments:
Post a Comment
Maoni yako