NA DK. RICHARD MBUNDA
MOJA ya misingi mikuu ya tanu na ccm ni kujali utu wa
binadamu. Kamati ya Haki, na Maadili ya Bunge imeshindwa kumhoji Mh. Saed
Kubenea baada ya kujiridhisha kwamba hali yake ya afya sio nzuri. Mh kubenea
amepelekwa Hospital ya bunge baada ya kamati kuona afya yake sio nzuri.
Kamati hiyo imesema Kubenea ataitwa tena kuhojiwa baada ya
kujiridhisha kuwa afya yake imeimarika. Ikumbukwe jana jeshi la polisi lilimtia nguvuni Mh. Kubenea
akiwa hospital ya Aghakhan ambako alikuwa anapatiwa matibabu.
TUNAJENGA NCHI YA AINA GANI?
No comments:
Post a Comment
Maoni yako