UJENZI WA UKUTA MKOANI MANYARA
PICHANI: Meja
Jenerali Michael Isamuyo atua Mererani, Mkoani Manyara kukagua maeneo ambayo
ukuta utajengwa kwa ajili ya ulinzi wa madini.
Wananchi
wakiangalia Helikopta ya JWTZ iliyomleta meja jenerali Michael Isamuhyo
kusimamia ujenzi ukuta wa eneo la vitalu A hadi D katika machimbo ya Tanzanite
,Mirerani.
PICHA KWA
HISANI YA; Innocent Vitalis Inno
No comments:
Post a Comment
Maoni yako