September 16, 2017

UBUNGE SASA MIAKA 7?


Mbunge wa Jimbo la Chemba, Juma Nkamia anatarajiwa kuwasilisha hoja binafsi Bunge ya kubadili kanuni na sheria zilizoweka ukomo wa nafasi ya ubunge kwa miaka mitano, ambapo sasa anapendekeza kufanyike mabadiliko ya kisheria ya ukomo wa ubunge uwe miaka 7 (Kama inavyoonekana pichani).
 
Je atafanikiwa?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako