September 16, 2017

#BREAKING_NEWS; NYUMBA YA MHESHIMIWA ZITTO YAUNGUA MOTO


Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-WAZALENDO) ndugu Zitto Zuber Kabwe inaunga moto muda huu huko Mwandiga mkoani Kigoma. Chanzo cha moto bado hakijajulikana.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako