SABUNI ZA MAWESE MWANGA, KIGOMA
Wachuuzi wa sabuni maarufu Kigoma ambazo hutengenezwa kwa
malighafi ya Mawese. Sabuni zina wateja sana. Mfano maeneo ya Dar es salaam kama
mtu atabahatika kuwa na mtaji halafu akasambaza hata kwa wale wenye maduka ya
jumla atapata fedha. Hii bidhaa nzuri sana.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako