NA JOHN CHITANYA
MJUKUU wangu Irene;
WACHAFU wengi wanatabia ya
kuvaa nguo safi.
"Ngono haiwezi kumfanya
mwanaume asimuache mwanamke, Hata kama huyo mwanamke awe fundi vipi!
UZURI wa mwanamke unaweza
ukapelekea mwanaume akathubutu kumuoa, Lakini TABIA yake ndiyo itakayo mwamulu
atadumu Kwa muda gani na huyo mwanamke katika NDOA hiyo.

Mjukuu wangu Irene; Kuwa mtamu
katika Tendo la Ngono, Inaweza Ikamfanya Mwanaume alale na wewe Usiku kucha,
Lakini Asbuhi akaondoka Zake. LAKINI KUWA MTAMU KATIKA TENDO LA TABIA, Kunaweza
kukamfanya mwanaume AKUOE na ADUMU na wewe mpaka Kufa"
Wasalaam
Thekla Frank Machusa.
Bibi yako.
*Mbio zetu Kabla ya Uhuru*
No comments:
Post a Comment
Maoni yako