Upikaji wa samaki hawa
hauhitaji kitunguu wala nyanya au mafuta. Wanapikwa na kulika vizuri,
hawahitaji mafuta ya kupikia, nyanya wala vitunguu na vikorombwezo vingine vya
mapishi. Ukitumia viungo hivyo basi utakuwa umeharibu kabisa ladha yake na
kupoteza asili yake. Ni samaki watamu mno.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako