February 01, 2018

NENO LA WAKATI MWEMA


“Usimpe mwanadamu yoyote nguvu juu ya maisha yako na ndoto zako,today!s!!”
--©NURU THE LIGHT (Nuru Light).
NIONGEZE NENO: Komredi niseme tu huu ujumbe ni mzito sana. Ni sawa na kusema utegemezi wa mawazo au kufikiriwa kufanyiwa kitu au kutaka watu fulani wakufikirie juu ya maisha yako badala ya wewe mwenyewe. Umeandika ujumbe muhimu sana, nami naungana na wewe kuwa ni kosa kufirikia hilo kwasababu mtu huyo anaweza kukuharibu kabisa kisha akawa anajua utamfuata.
Kosa hili limejitokeza kwa wengi na kufikia hatua ya kujutia… kwamba unampa mtu nguvu kiasi kwamba hata anaweza kufanya chochote na ukashindwa la kumfanya. Tusipoteze nguvu za mamlaka juu ya maisha yetu wanadamu!
MADOIDO: Doido liko poa kabisa.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako