AJENDA: Afrika ya Mashariki.
WENYEJI; Uganda
WAHUSIKA: Ndugu Rais Yoweri
Museveni, ndugu Rais John Magufuli na ndugu Rais Uhuru Kenyatta
MADA: Sekta binafsi kwa
maendeleo ya nchi za Afrika mashariki.
MAONI: Sekta binafsi ina lengo
la kutafuta faida. Haitatokea kuwa utoaji wao wa huduma kuwa kigezo cha
kutotafuta faida. Ni jukumu la serikali kusimamia kupata haki zake kutoka kwa
wadau wa sekta binafsi kwa njia zinazofaa. Tukitaka kuilazimisha sekta binafsi
isilenge faida tutarudi kwenye "Mashirika/viwanda vilivyobinafsishwa"
enzi hizo na baadhi yao kuwa "ghala za popo".
No comments:
Post a Comment
Maoni yako