Je, unahitaji kununua gari la kutembelea, gari la abiria ama
la mizigo? Nyaluke Motors, biashara tanzu ya Anesa Co.,Ltd; tunakupa jibu zuri
la hitaji lako. Sasa tunaagiza na kuuza magari aina mbalimbali (used cars)
kutoka Japan. Tuna utaratibu na mfumo ambao haujawahi kuwepo Tanzania.
Unachohitaji kufanya ni kuchagua gari ulipendalo ama kutuarifu; kisha sisi
tutaliagiza na kukuletea mahali popote ulipo Tanzania.
Gharama zote utatulipa baada ya kukabidhiwa gari lako. Kwa
kununua gari kupitia Nyaluke Motors utaweza kupata unafuu wa hadi milioni 5
ukilinganisha na bei zilizopo katika showrooms zote nchini. Chagua gari lolote;
Nissan Serena, Nadia, Xtrail, Prado, Scania, Fuso, n.k: kisha sisi tutatimiza
ndoto yako kwa bei nafuu sana na utaratibu rahisi.
Pia kwa kupitia mpango rafiki ambapo mteja anaweza kulipia
gari kwa awamu; akiwa anaendesha gari lake. Tunapatikana: Iringa-Mjini na
Kilombero-Morogoro.
Wasiliana nasi kupitia: stepwiseexpert@gmail.com. Haijawahi
kutokea Tanzania; ununuzi wa magari kurahisishwa namna hii. Changamka sasa
ununue na kumiliki gari lako mapema. Nyaluke Motors: tunaamini kuwa;
"KUMILIKI GARI NI DEMOKRASIA YA KILA MTANZANIA".
No comments:
Post a Comment
Maoni yako