Na Emmanuel G. Ndembeka, Dar es Salaam |
Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri wa MUungano wa
Tanzania,1977 inasema kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje
mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia
chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano
yake kutoingiliwa kati.
HIVYO BASI nami ninatumia uhuru huo kutoa maoni
yangu!!!Infact nimesikia juu ya Kikao cha watu wa nyumbani kitakachofanyika
Msimbazi Centre.Kwa kweli nilifurahi sana niliposikia motive behind ila naona
pia tuwe
Makini sana na nani atakuwa MGENI RASMI!!!Ningependa awepo
mtu asiyekuwa na makundi ya kisiasa ndani yake, lakini pia asiwe ni yule mwenye
kujisafishia njia ya Urais mwaka 2015.Mtu wa namna hiyo hatufai kwani mwisho wa
siku atatufitinisha afu tuonekane wanyasa ni wanafiki kwa makundi yatakayokuwa
yamejengeka ndani yetu!!!!
Lakini pia kama atakuwepo huyo Mgeni rasmi Je sie wadau
tumeshirikishwa ili nasi tutoe maoni yetu?Maana nawaogopa sana WANASIASA. Wengi
wao hawako kwa ajili ya wananchi ila wapo kwa ajili ya kujitengenezea njia zao
ili wazidi kuwa na matumbo makubwa, na wale wasio nayo wanapenda
yaongezeke!!!!NIMEMALIZA.SIJAMTUKANA MTU!!!!
Ndugu Mpangala, blogu yako ni nzuri sana na inanikumbusha mengi ya mbinga na Nyasa. Jee? unaijua email ya huyu mdau Emanuel Ndembeka?Sielewi kama anawajua Agatha, Mercy na John Ndembeka toka Mbamba Bay ambao nilisoma nao pale Mbinga in the 70s. Mimi naitwa Athanas, nipo hapa Marekani.
ReplyDeleteAthanasi nasikitika ujunbe wako nimeupata too late,email yangu Ni gideima101@hotmail.com. Hao uliowataja Ni ndugu zangu wa damu kabisa,kwa bahati mbaya Mercy amefariki miaka 23 iliyopita,Mie Ni mdogo wao
ReplyDelete