NA HONORIUS MPANGALA
KADI ya 1 nyekundu ilitoka July 14,1930 kwa PLACIDO GALINDO
mchezaji wa Peru. Katika mechi kati ya PERU VS ROMANIA. Kadi ilitoka dakika ya
54 ya mchezo.
Kadi ya 141 nyekundu ilitoka July mosi,2006 dakila ya 62
kwa WAYNE ROONEY. katika mchezo wa Ureno vs England kwenye fainali za Kombe la dunia nchini Ujerumani.
Kadi ya 142 ilitolewa kwa ZINEDINE ZIDANE, July 9,2006
dakika ya 110 mechi kati ya Ufaransa vs Italia.
Kadi ya 169 ilitolewa juni 29,2014 baada ya kupatikana kadi
mbili za njano kwa OSCAR DUARTE wa COSTA RICA. Njano ya kwanza dk ya 42, ya
pili dakika ya 66 na kufanya kuwa nyekundu. Mechi kati ya Costa Rica na
Ugiriki,pale nchini Brazil.
Ligi kuu ya England mchezaji wa kwanza kupata kadi nyekundu
ni DAVE WAGSTAFFE wa Blackburn Rovers.
NB: Imeandaliwa kwa msaada wa mtandao.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako