Basi la kampuni ya Kisumapai lenye namba za usajili T 606 CTY linalofanya safari zake kutoka Songea kwenda Mbamba Bay, Liuli hadi Mango wilayani Nyasa limepata ajali mapema leo katika kijiji cha Nangombo wakati likitokea Songea kuelekea Mbamba Bay.
Taarifa inasema kuwa abiria wanne wamefariki dunia kutokana na ajali hiyo, huku wengine wakiwa wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Mbamba Bay.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako