NA HONORIUS MPANGALA
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana
wapo aina tofauti tofauti,,.
1. Ukimpata mtanashati, kichwa yake ni kitupu.
2. Ukimpata mwenye akili...yuko makini masaa 24 na wengi
huwa hawako hawana swaga kwenye mapenzi , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu, wana dharau, utamwambia
nini wakati hela anayo.
4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa
kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha.
5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo ‘tyype’
yako..hana pozi zile unazitaka.
7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.
8. Ukimpata yule ‘smart’...ni muongo ‘to the maximum’... na ‘player’
‘So listen to your heart’...❤❤,
na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu ‘perfect’..hata
wewe hauko ‘perfect’.
BAKI NJIA KUU UYO NDIO ULIYOPANGIWA ,MUONESHE UPENDO HUENDA
ANAWEZA KULITOA TATIZO HILO
No comments:
Post a Comment
Maoni yako