NI dhahiri ni taaluma. Mambo yamebadilika, si lazima ucheze
kandanda ndipo uwe kocha wa soka. Tazama orodha hii inao makocha vijana kabisa.
1.Mohammed Kijuso ni Kocha wa muda wa Mbeya City, ana miaka
38 tu.
2.Julian Nangelsmann ni Kocha mkuu wa klabu ya Hoffeinheim
ana miaka 30.
3.Domenico Tedesco ni kocha wa Schalke 04 ana miaka 32.
4.Diego Martinez wa Osasuna ana miaka 35.
5. Luis Zubeilda ni kocha wa Derpotivo Aleves ana miaka 36.
6.Eddie Howe ni kocha wa AFC Bournemouth ana miaka 39.
Julian Nangelsmann wa Hoffeinheim ya Ujerumani.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako