kambale bwana, unakumbuka utamu wake? kwa wale wasiomla poleni huyo ndiyo kambale toka BABU hadi Mjukuu wanakula. ERIK UMEWAHI KULA KAMBALE WEWE? mwambie mama asiwe na roho mbaya hivyo akutafitie huko Uswidi , mkikosa njoeni nyasa
Bahati mbaya kwani hata mama yake hali kambale ila angekuwa mbufu hapa sawa. Tena mbufu tulimla mwaka jana Mbamba-by. Sisemi sana usije ukawa ugomvi hapa
Bahati mbaya kwani hata mama yake hali kambale ila angekuwa mbufu hapa sawa. Tena mbufu tulimla mwaka jana Mbamba-by. Sisemi sana usije ukawa ugomvi hapa
ReplyDeleteJamani Erik mbona hajasema kama anakula? au mama yake analazimisha vitu ambavyo hawavitaki?
ReplyDelete