Sijutii na
sitajutia msimamo huu,ni msimamo wangu Binafsi.Ningekua Amiri Jeshi Mkuu leo
hii nisingefanya jambo lingine zaidi ya kum-finance Jenerali Kayumba Nyamwasa kumpindua
huyu Bloody Thirsty Dictator Kagame na kule Malawi ningeelekeza Nguvu kwa
Prof.Peter Mutharika afutilie Mbali kibaraka mkubwa wa Mabeberu Joyce
Banda(shame of Africa) wakati huo huo nikitumia vein tactic ya umuhimu wa
Diplomasia
Kagame na Banda wakitaka kujua kuwa Watanzania tunaipenda nchi yetu waendeleze upuuzi waone tutakavyoungana kuwafutilia mbali.Hadi muda huu sijaona kauli kali ya waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe.Kauli za Kagame ni very undiplomatic na huwezi kukurupuka kutoa kauli kama zile wakati Kikwete alikua akiongelea kwa maslahi mapana ya ukanda huu.Pamoja na kuwa Tatizo la Congo Kinshasa,Rwanda na Burundi yana historia ya muda mrefu but there was nothing wrong in JK’s statement.Kenya na Uganda sasa walinywe maana ndiyo walikua makuwadi wa Rwanda katika kuhakisha wanapata admission EAC.Hata katika voting they always votes katika line ya Kenya na Uganda kwa gharama ya Tanzania kama Member State.
Namshangaa Kagame(one of the mastermind of Genocide) kwa kujifanya anayakoromea mataifa ya magharibi kinafiki hasa wanapojadili kuhusika kwake na mauaji ya kimbari,Yeye anawaita kuwa ni wakoloni na huku aki-enjoy matunda ya ukoloni kwa hiyo title aliyo nayo ya Urais.Hajui kwamba kama sio wakoloni waligawa eneo hili leo pengine angekua kama mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo tu maana Rwanda ingekua Mkoa wa Tanganyika hadi leo.

Tanzania
tumezungukwa na majirani ambao ni hostile.Yule kibaraka wa kusini Joyce Banda
anatia kinyaa,ndiyo maana hata ukanda wa SADC naona heri Bob Mugabe aendelee
huko Zimbabwe kuliko Morgan Tsavangirai ambaye angezidi kuimarisha kambi ya
vibaraka ukanda wa SADC.Hatuhitaji matusi ya Kagame ndiyo tujue JK ana
mapungufu.SisiWatanzania ndiyo tunaojua na ndiyo maana Upinzani tuna hoja ya
kutaka JK na Chama chake waondoke madarakani.Tusi la Kagame si kwa JK,ni tusi
kwa watanzania wote.By the way,nakipongeza CCM na Kambi Rasmi ya Upinzani
kujadili kwa uzalendo above party politics bajeti ya Wizara ya Ulinzi pamoja na
kuwa na fungu kubwa.
Pamoja na umaskini wetu,tutumie raslimali zetu vizuri sasa
kuimarisha maisha ya Watanzania na kuongeza millitary expenditure na ku-upgrade
millitary software na hardware.Tuna majirani ambao wanaelewa lugha ya War
Diplomacy zaidi kuliko lugha nyingine.Ukishakia na strong,Modern and formidable
Millitary force kwa kawaida ina detterence effects kwa hostile Neighbours bila
hata kuingia vitani moja kwa moja….Diplomasia kali inahitajika wakati kama
huu.Tuendelee kuliunga Mkono Jeshi letu huko Goma DRC.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako