Nilikuwepo
tutaonana siku nyingine mungu akinirejesha tena katika Ardhi hii ambayo
nafurahi kuijua,hakuna tofauti na kwetu Songea kijiografia na hata hali ya hewa
kama nyumbani Lundu, Nyasa.
Nawaandalia
bonge la makala kuhusu soka la Mkoa wa Kigoma baada ya kukutana na Mdau mkubwa
NASSORO HAMDUNI,mwamuzi na diwani wa manispaa ya Kigoma/Ujiji..
Na Honorius Mpangala
No comments:
Post a Comment
Maoni yako