SOMO LA LEO
Kulala kwa muda mrefu kunasababisha upweke. Utafiti unaonyesha kuwa watu wapweke
wanatumia muda mwingi wakiwa kitandani licha ya kujua hatari zinazotokana hali
hiyo. Upweke husababisha kudhani kitandani ni sehemu muhimu zaidi hata kama
wakiwa hawana uchovu.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako