November 30, 2017

KITOWEO NA MANDHARI YA KUVUTIA YA LIULI, NYASA


Picha ya kwanza (juu) inaonyesha utulivu wa Ziwa Nyasa katika bandari ya Liuli, wilayani Nyasa.  Ikumbukwe Ziwa Nyasa linasifika kwa mawimbi makali lakini pia linakuwa na utulivu kama huu pichani. 

Picha ya Pili (chini) inaonyesha samaki aina ya Mbufu ambao wamekuwa wakipataikana kwa wingi katika ZIwa hilo. Samaki hao huvuliwa maeneo mengi zaidi ya mwambano wa Ziwa Nyasa. Ni miongoni mwa kitoweo kinachopendwa zaidi na wenyeji  na wageni.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako