December 30, 2017

VITABU 50 NILIVYOSOMA MWAKA 2017

NAWASILISHA orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka 2017. Ukitazama orodha zangu za usomaji vitabu utabaini kuwa ya mwaka imeongezeka. Nimesoma vitabu 50 na kuna mabaki kadhaa hayaguswa kabisa.
Mwaka 2017 nimejikuta nikiwa nimeongeza uwezo wa kusaka maarifa zaidi kutokana na ongezeko la vitabu ingawa sina desturi ya kupanga idadi yake.

Kwa mwaka 2018 ninatarajia kuongeza maarifa zaidi katika vitabu vya biashara na uchumi, lakini haina maana nitasoma vingi kuzidi ‘ala za roho” (riwaya). Pamoja na changamoto za majukumu na mengineyo, suala la vitabu limebaki kuwa nyeti maishani mwangu. 


Maeneo muhimu ninayoangazia katika usomaji wa vitabu na kujifunza ni; riwaya kama ala za roho, kisha inafuatia historia, tawasifu, hamasa, ushairi, ulinzi&usalama na mengineyo.
1.      Kikomo- (E.A Musiba)
2.    Kikosi cha Kisasi-(E.A Musiba)
3.    Kufa na Kupona-(E.A Musiba)
4.    Msako- (Japhet Nyang’oro Sudi)
5.     Joka la Mdimu -(Profesa Safari)
6.    Kitanda cha Kuwadi -(Maundu Mwingizi)
7.     Mikataba ya Siri -(Joseph Shaluwa)
8.    Rosa Mistika -(E.Kezilahabi)
9.    Karibu Ndani-(E.Kezilahabi)
10.                        Mateka Mpakani -(Frowin Kageuka)
11.  Mbio za Jasusi-(Frowin Kageuka)
12.Shetani Msalabani-(Ngugi wa Thiong’o)
13.Fungate-(Fadhy Mtanga)
14.Mtu wa Kazi- (Seleman Kijogoo)
15. Chaguo Langu- (Happy Joseph)
16.Bikira Yangu-(Padri Privatus Karugendo)
17. Historia ya Soka Tanzania-(Peter Chingole)
18.Busara za Mzee-(Padri Titus Amigu)
19.Kesi ya Almasi-(Profesa Rao Shaoping)
20.                      Ishinde Tabia ya kuahirisha Mambo-(Joel Nanauka)
21.Siwachi Kusema-(Mohammed Ghassani)
22.                       Andamo-(Mohammed Ghassani)
23.                       Machozi Yamenishiya-(Mohammed Ghassani)
24.                       Changi N’kuchangizana-(Mohammed Ghassani)
25.                       Mikononi mwa Nunda-(Ben Mtobwa)
26.                       Pugu hadi Peramiho 1888-1988-(Wabenediktine wa Peramiho)
27.                       Ngoma ya Ng’wanamalundi-(Profesa E. Mbogo)
28.                       Dira ya Moyo-(Laura Pettie).
29.                       Aya za Shetani-(Beka Mfaume).
30.                      The Myth of Mzee Punch-(A.Magege)
31.Obama: Creator of History-(Carl Paddock)
32.                       The Girl with the Dragon Tattoo-( Stieg Larsson)
33.                       Women in Parliament –(Aristophanes)
34.                       It Can’t Be True-(John Mwakyusa).
35.                       How We Die-(Sherwin Nuland)
36.                       Psychology of Intelligence Analysis-(Richards Heuer)
37.                       Intelligence As a Career: Is It Right For You And Are You Right For It?-(Association of Former Intelligence Officers)
38.                       My First Coup D’état-(John Mahama)
39.                       Asian Tigers, African Lions; Comparing the Development Performance of Southeast Asia and Africa-(Brill)
40.                      Vanishing Shadows-(Namige Kayondo)
41.The Secret Lives of Baba Segi’s Wife-(Lola Shoneyin)
42.                       The Looting Machine-(Tom Burgis)
43.                       It takes a Village-(Hilary Clinton)
44.                       The Accidental Billionaire: The Founding of Facebook, A tale of sex, money, genius and Betrayal-(Ben Mezrich)
45.                       Death by China-(Peter Navaro)
46.                       Vital Lies, Simple Truth: The Psychology of self deception-(Daniel Goleman)
47.                       The Race for the Presidency-(Prof. T.L Maliyamkono)
48.                       Rural Reporting: A Manual for Tanzanian Journalists-(MISA-TZ)
49.                       Megachange: The World in 2050-(The Economist)
50.                       Putin’s Wars: The rise of Russia’s New Imperialism-(Marcel H. Van Herpen).

TAMATI
© Markus Mpangala
28/12/2017.
Dar es salaam

2 comments:

  1. nawezaje kupata kitabu cha kikomo

    ReplyDelete
  2. Nimependa boss na Mimi nataman kusoma vitabu kama wewe hongera sana

    ReplyDelete

Maoni yako