Haika Lawere |
Na Haika Lawere, via Facebook
Huwa
nawatazama wazazi wengi hapa Tz wanavyojinyima usiku na mchana ili kupata ada
kuwalipia watoto wao school fees uko nje eg USA/UK,India,Malysia,SA nk
nk,wengine huiba ktk ofisi zao ili tu mtoto asome,wengine watauza properties
ili mtoto ailimike,wengine hukopa,wengine hata maendeleo binafis yana simama
ili vijana wasome!!!
ila sasa...huko waliko hawa watoto,baadhi yao
hawasomi,wengine huishia kuzaa na foreigners ili kupata papers,wengine
hu-cohabitate na strangers ili kupata unafuu wa kodi,wengine ni mwaka wa 10 na
zaidi hata Certificat/Diploma hawana hata darasa hawajawahi kuingia!!wingine
wameshajilipua hata wazazi wakiumwa/kufa hawaji kuwaona!!
Wengine huaribikiwa
kabissaaa kitabia/ kiakili/ki-mtazamo na wanakuwa hawa-fit mazingira ya uku!!mi
niwasihi tu wadogo zetu ambao wazazi wenu wana-sacrifice kuwasomesheni nje muwe
apprecitive,waoneeni wazazi wenu huruma wanavyoteseka,bongo pagumu jamani!!
someni na muelimike na mkimaliza shule, ni vizuri mkarudi kutumikia nchi
yenu,jamii yenu na kuwatunza wazazi wenu hapo watakapozeeka!!!msizamie nchi za
watu wakati kwenu kuna-oppoturnities chungu-mzima!!!simhukumu mtu,ni mtazamo tu
anyone can challenge!!
Jamani si kila mtanzania aliyekuwa US au Europe , ambaye amezaa na Foreigners ni kwa ajili anataka makaratasi. au mtu ana cohabitate na mzungu ni kwa ajili hiyo . si kila mtu anafanya hivyo. Huwa ninachukia sana watu wanaposema hivyo .
ReplyDeleteHuko Tanzani kuna oppurtunity gani ? . Ndugu yangu amemaliza chuo kikuu lakini hajapata kazi , kwa sababu hakuna mtu anayemfahamu ambaye atamsaidia kupata kazi , Anahangai kila siku . sasa acha kudanganya watu na kusema warudi nyumbani.
ReplyDelete