KAMPALA, UGANDA
1. Acha "Mamlaka ya Raia" iamue. Kuweka ukomo wa
umri ni kuwanyang'anya ni kuwanyima mamlaka yao ya Kikatiba.
3. Ibara inayoweka ukomo ukomo wa umri ni ya kinyume na
inakiuka ibara ya 32 ya Katiba inayokataa unyanyapaa.
4. Katiba si msahafu, sio vibaya kufanyia mabadiliko ibara
husika.
5. Mfumo wa vyama vingi unatoa nafasi kwa kila Chama
kusimamisha mgombea wanayemtaka, ni kinyume Chama kingine kuwaingilia.
6. Uganda inapaswa kuiga Israel wanaoruhusu yeyote
anayeonekana kulifaa Taifa hilo kugombea bila vikwazo.
7. Miaka 75 ni ajali, haina uhusiano na kupungua kwa uwezo
wa kuongoza.
8. Uganda si kisiwa, Nchi nyingine Afrika hazina zuio hilo
la kipuuzi.
9. Binadamu anastahiri burudani nzuri kutoka mtu mahili.
10. Uganda ni mdau muhimu katika mahusiano ya Kikanda,
haiwezi kujinyima fursa ya kuongozwa na kiongozi mahili na anayejua siasa za
Afrika.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako