LEO imetimu miaka 50 tangu mwanamapinduzi wa Argentina
Enersto Che Guevara alipouliwa huko Bolivia. Che anafahamika kwa harakati zake
za kupigania uhuru wa nchi kama DRC/Cuba na nyingine nyingi. Aliwahi fika
Tanzania miaka ya 1960 Kupitia Ujiji-Kigoma na kukaa miezi saba kabla
hajaondoka kuelekea Cuba.
Che Guevara alikuwa ni Mwanaharakati/Mwanadiplomasia/Mjamaa
na Mwanamapinduzi katika Karne ya ishirini. Mchango wake unakumbukwa na wengi
Duniani, alikuwa ni swahiba Mkubwa wa Rais wa Cuba hayati Alejandro Fidel
Castro #Socialism.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako