July 09, 2013

UHONDO WA WILAYA YA NYASA. HUKU NDIO KWETU NA HIZI NDIO RAHA ZAKE. KARIBUNI NYASA WILAYA MPYA YA NYASA

SAMAKI WAKIWA KWENYE MTUNGO

WAZEE HAWA WALICHEZA MUZIKI WAKATI WA UZINDUZI WA WILAYA YA NYASA

SAMAKI AINA YA KAMBALE WAKIWA WAMEANIKWA BAADA YA KUPASULIWA. NI KITOWEO KIZURI SANA KINACHOPATIKANA KWENYE ZIWA NYASA. WILAYA NYASA INA MENGI KATIKA ZIWA HILO NA ARDHI PIA.

MKUU WA WILAYA YA NYASA AKIMKABIDHI CHETI CHA USAJILI WA HALMASHAURI YA NYASA MKURUGENZI MTENDAJI NDUG S. MNUNDUMA


KAMBALE WAKIWA WAMEANIKWA BAADA YA KUPASULIWA

KItoWEO CHA UGALI NA SAMAKI. HAPA NI MOJA MAMBO YENYE UHONDO KATIKA WILAYA YA NYASA. WATUMISHI WA SERIKALI WOTE WALIOPANGIWA KUFANYA KAZI WILAYA NYASA WATAMBUE HII NI WILAYA NZURI NA INA MAMBO MENGI  MATAMU SANA. NI MAISHA RAHISI KAMA ULIVYO MKOA WA MBEYA. WILAYA YA NYASA ILIYOPO MKOA WA RUVUMA INALINGANA NA MBEYA KWA SUALA LA VYAKULA. NI MAISHA RAHISI NA KITOWEO KINAPATIKANA KWA HARAKA NA CHA ASILI. HUHITAJI KUWA NA JOKOFU LOLOTE, WKANI MAKAO MAKUU YA WILAYA MJI WA MBAMBA BAY NI HATUA CHACHE KUTOKA UFUKWENI. KARIBUNI NYASA

SAMAKI WATAMU SANA HAWA. KARIBUNI WAGENI NA WENYEJI PIA
MANDHARI YA WILAYA YA NYASA NI MAZURI SANA. HAPA NI SEHEMU YA FUKWE YA ZIWA NYASA. KARIBUNI KWA WATUMISHI WAPYA WA SERIKALI WALIOPANGIWA KUFANYA KAZI WILAYA YETU HII.

5 comments:

 1. Jamani jamani kwa namba nini kutamanishana hivi. Nimekaa hspa udende huo si unajua nilivyo mpenzi wa samaki kama samak na maji. Uninogosi sana.

  ReplyDelete
 2. Teh teh teh Dada KARIBU NYASA nitakuandalia wengi ule!.

  ReplyDelete
 3. Teh teh teh Dada KARIBU NYASA nitakuandalia wengi ule!.

  ReplyDelete
 4. Teh teh teh Dada KARIBU NYASA nitakuandalia wengi ule!.

  ReplyDelete
 5. Salome Masumba25 June, 2016

  Nimefurahi kusoma maendeleo na mabadiliko makubwa katika shule ya sekondari ya Mt. Paulo. Baba yangu marehemu Mzee Andrew Masumba (Kasisi) ni miongoni mwa waanzilishi wa shule hii. Kama sikosei alikuwa Mwalimu Mkuu wa kwanza. Wale waliosoma miaka ya 1986 - 1990s watamkumbuka.

  ReplyDelete

Maoni yako