December 17, 2008

maneno ya Al-rawahy hilal

"Hi, Brother, Nimefurahi zaidi kwa ushindi wa Taifa Stars. Hongera kubwa kwa Taifa Stars na JK na WADAU WOTE WA BLOG YAKO, Hongera Bongo na watanzania wote popote walipo mimi ni mdau mkubwa wa blog zote za Bongo, napenda kufuatilia na kujua habari zote, nakuomba kama ndugu upost furaha yangu hii na hongera zangu hizi kwa wadau wote kwa ushindi mkubwa wa kuingia fainali za kombe la afrika, Tunaombea zaidi Stars wafanye vizuri katika michuano hiyo kila la kheri amin"
http;//www.borntosuffer1.blogspot.com
hilal24356@yahoo.vom

NB; ujumbe huu ulitumwa nyasa desemba 14.2008 kwahiyo waungwana wote Raha na shangwe kwa ushindi wa Stars

4 comments:

 1. lakini jambo moja sijauliza kwa mdau wangu, hajasema yuko nchi gani.

  )dada Yasinta asante kwa pongezi

  ReplyDelete
 2. Jina la blog yake limenitisha kidogo na kunifikirisha katika ;borntosuffer1

  ReplyDelete
 3. poa jamani mdau wangu nimempata vema, hakuna matata nilijisahau tu

  ReplyDelete

Maoni yako