December 16, 2008

yote maisha+ipo siku yatakwisha.....

karibu sana wala usiogope ndugu, karibu nyumbani maskani wala usitie shaka. hapa ndiyo nyumbani karibu sana

3 comments:

 1. Ahsante nakaribia,
  Nyumbani pametulia,
  Huwa na amani pia,
  Sote tunafurahia,
  Nyumbani ndipo nyumbani!

  ReplyDelete
 2. ni kweli kabisa ndongu vangu nibwela kunyumba nga kunyumba hata kukavyai kudahi. je kuna ugali wa muhogo na samaki bila hivyo itakuwa kazi kweli.

  ReplyDelete
 3. Fadhy, mwanamalenga
  wanipa harara
  shairi kuandika
  aghalabu,si haba
  elimu patia
  fungo lako li' minguni
  asilani,mola akupe hekima


  jamani najaribu ingawa natamani, lakini nitajua tu

  ReplyDelete

Maoni yako