November 18, 2008

zawadi ni zawadi usambe utajiri jamani


picha nzuri, niliahidi kuitolea zawadi. HABARI NDIYO HIYO.

12 comments:

 1. Nilifikiri unatania. ibesa mau ibesa dadi wagosi wa mndele ibesa ena ena ena.....Asante kwa zawadi nzuri

  ReplyDelete
 2. dada kapendeza kweli. Naomba tuwe marafiki.

  ReplyDelete
 3. Samahani hapa siyo mahali pa kuombana urafiki, ni marufuku na iwe mwisho kutuma ombi hilo hapa. Je unamfahamu vema, ni kupendeza tu kunakufanya utume ombi hilo? Samahani lakini jaribu kuwa na adabu kidogo mtu wangu ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakucheka umekasirika? UTAJIJU yaani we ukiona kichaka tu Mav****** hayo yanakubana kabali ha ha ha ha ha chimba cho*** ha ha ha. Ok natumaini umenielewa zingatia nidhamu maana unapoomba urafiki jaribu kutumia busara ni nani na mahala gani unaomba. UMENISOMA MKUU? usijali sana

  ReplyDelete
 4. kaka Simon umenikumbusha jambo moja> {:_ pale kijiji cha Njambe nje kidogo ya mji mdogo wa LIULI pana mkusanyiko mkubwa sana wa kazi za wavuvi basi nakwambia yaani mambo ni kunoga tu, kwahiyo mitumbwi wakati mwingine inakuwa MGENI UGENISHWE na raha papo ha ha ha ha ha yaani kuna watu wanatumia kujiramba na kurambana yaani muulize mnyasa anajua shughuliza kijiji ch NJAMBE? akibabaika ujue anajua lakini sijui yule kiongozi wa Yanga yule Mpangala anatokea wapi ay muulize Kijastibikozi wa MTU KWAO{Nathan Mpangala} mchoraji wa katuni za ITV. pale ni kijijini kwao anajua mambo haya. Hivi ulioteshwa au unajua shughuli NYETI za KUNYETISHWA. ha ha ha ha ha lakini siyo sana si unajua kufanya hivyo tunakamilisha mzunguko wa dunia??? ha ha ha ha BASI TUFUMANIWE ILI TUANZE? looooo fumanizi noma MKUU ingawa tunayatafuta wenyewe.
  namalizia usijali sana. PAMOJA DAIMA!!!!!

  ReplyDelete
 5. uchoyo huo unataka umfaidi peke yako huyo dada.

  ReplyDelete
 6. mamamaaaaaaaaaaaaaaaaaa! naogopa mimie?

  ReplyDelete
 7. Kamala J Lutatinisibwa unaogopa nini?

  ReplyDelete
 8. huyu jmaa anaogopa lazima anajua kinachofanyika mahala pale ha h ha ha ha hooooooooo. Dada Yasinta muulize tena u tumuulize mwenye blogu afafanue vema TUFUMANIWE ILI YAANZE wee fumanizi ni noma

  ReplyDelete
 9. Nakubaliana na hilo jingine kuwa labda mwenye blog afafanua vema. kwani mi tayari nimeshamuuliza ni nini anaoga, na nasubiri jibu

  ReplyDelete
 10. Aaah waungwana nashkuru kwa maoni yenu matamu kama dagaa na samaki manswena wanaopatikana kipindi hiki mweeee we acha tu. UFAFANUZI, kwanza niseme kwamba kumfidi mtu kwa namna gani maana unaweza kufaidi mambo mengine ambayo wenye kufaidi wanajua kufaidi kunahitaji nafasi ili ufaidi. Na kufaidi wala usiibe cha mtu ili ufaidi bali ufaidi chako halali ndiyo utamu. UFUMANIWE ILI YAANZE someni falsafa za kaka Simon katika blogu yake. unajua unapofumaniwa unaanza mikakati ya kutofumaniwa kwahiyo unaanza lkini ya;likwisha kuanza.
  KUMBE KUNA WATU WAROHO wanajua hata kufaidi peke yao kaka Simoni msaada hapa, huyu jamaa anataka kufaidi wakati anajua mimi nafaidi.

  ha ha ha ha WIVU HUMUUA MTU MJINGA nafaidi kwa raha zangu maana kula nanasi kunahitaji nafasi ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

  ReplyDelete
 11. KARIBU SANA KAKA KALAMA J. LUTATINISIBWA karibu sana tena sana katika eneo la nyasa maana ni raha sana anga zetu kwenye kona shaaaaa hakuna breki mtumbwi ukata maji tu. samaki kwa wiki na mambo NYOOOOOOOMMMMIIIII

  ReplyDelete
 12. @Markus: Nilishawahi kukwama sehemu pwani usiku nawashikaji. Katika kujaribu kutafuta pa kulala tukaamua kwenda kwenye vimitumbwi huko. Karibu kila mtumbwi tuliokaribia tulipokelewa na walizanao kimapenzi!Lakini inaonekana ni sehemu nzuri kuliko migombani katika kufanyia uasherati kidogo.

  ReplyDelete

Maoni yako