NAWASILISHA orodha ya vitabu
nilivyosoma mwaka 2017. Ukitazama orodha zangu za usomaji vitabu utabaini kuwa
ya mwaka imeongezeka. Nimesoma vitabu 50 na kuna mabaki kadhaa hayaguswa
kabisa.
Mwaka 2017 nimejikuta nikiwa nimeongeza
uwezo wa kusaka maarifa zaidi kutokana na ongezeko la vitabu ingawa sina
desturi ya kupanga idadi yake.
Kwa mwaka 2018 ninatarajia
kuongeza maarifa zaidi katika vitabu vya biashara na uchumi, lakini haina maana
nitasoma vingi kuzidi ‘ala za roho” (riwaya). Pamoja na changamoto za majukumu
na mengineyo, suala la vitabu limebaki kuwa nyeti maishani mwangu.
Maeneo muhimu ninayoangazia
katika usomaji wa vitabu na kujifunza ni; riwaya kama ala za roho, kisha
inafuatia historia, tawasifu, hamasa, ushairi, ulinzi&usalama na mengineyo.
1. Kikomo-
(E.A Musiba)
2. Kikosi
cha Kisasi-(E.A Musiba)
3. Kufa na
Kupona-(E.A Musiba)
4. Msako-
(Japhet Nyang’oro Sudi)
5. Joka la
Mdimu -(Profesa Safari)
6. Kitanda
cha Kuwadi -(Maundu Mwingizi)
7. Mikataba
ya Siri -(Joseph Shaluwa)
8. Rosa
Mistika -(E.Kezilahabi)
9. Karibu Ndani-(E.Kezilahabi)
10.
Mateka Mpakani -(Frowin Kageuka)
11. Mbio za
Jasusi-(Frowin Kageuka)
12.Shetani
Msalabani-(Ngugi wa Thiong’o)
13.Fungate-(Fadhy
Mtanga)
14.Mtu wa
Kazi- (Seleman Kijogoo)
15. Chaguo
Langu- (Happy Joseph)
16.Bikira
Yangu-(Padri Privatus Karugendo)
17. Historia
ya Soka Tanzania-(Peter Chingole)
18.Busara
za Mzee-(Padri Titus Amigu)
19.Kesi ya
Almasi-(Profesa Rao Shaoping)
20.
Ishinde Tabia ya kuahirisha Mambo-(Joel Nanauka)
21.Siwachi
Kusema-(Mohammed Ghassani)
22.
Andamo-(Mohammed Ghassani)
23.
Machozi Yamenishiya-(Mohammed Ghassani)
24.
Changi N’kuchangizana-(Mohammed Ghassani)
25.
Mikononi mwa Nunda-(Ben Mtobwa)
26.
Pugu hadi Peramiho 1888-1988-(Wabenediktine wa
Peramiho)
27.
Ngoma ya Ng’wanamalundi-(Profesa E. Mbogo)
28.
Dira ya Moyo-(Laura Pettie).
29.
Aya za Shetani-(Beka Mfaume).
30.
The Myth of Mzee Punch-(A.Magege)
31.Obama:
Creator of History-(Carl Paddock)
32.
The Girl with the Dragon Tattoo-( Stieg Larsson)
33.
Women in Parliament –(Aristophanes)
34.
It Can’t Be True-(John Mwakyusa).
35.
How We Die-(Sherwin Nuland)
36.
Psychology of Intelligence Analysis-(Richards
Heuer)
37.
Intelligence As a Career: Is It Right For You
And Are You Right For It?-(Association of Former Intelligence Officers)
38.
My First Coup D’état-(John Mahama)
39.
Asian Tigers, African Lions; Comparing the
Development Performance of Southeast Asia and Africa-(Brill)
40.
Vanishing Shadows-(Namige Kayondo)
41.The
Secret Lives of Baba Segi’s Wife-(Lola Shoneyin)
42.
The Looting Machine-(Tom Burgis)
43.
It takes a Village-(Hilary Clinton)
44.
The Accidental Billionaire: The Founding of
Facebook, A tale of sex, money, genius and Betrayal-(Ben Mezrich)
45.
Death by China-(Peter Navaro)
46.
Vital Lies, Simple Truth: The Psychology of self
deception-(Daniel Goleman)
47.
The Race for the Presidency-(Prof. T.L
Maliyamkono)
48.
Rural Reporting: A Manual for Tanzanian
Journalists-(MISA-TZ)
49.
Megachange: The World in 2050-(The Economist)
50.
Putin’s Wars: The rise of Russia’s New
Imperialism-(Marcel H. Van Herpen).
TAMATI
© Markus Mpangala
28/12/2017.
Dar es salaam
nawezaje kupata kitabu cha kikomo
ReplyDeleteNimependa boss na Mimi nataman kusoma vitabu kama wewe hongera sana
ReplyDelete