October 01, 2008

2 comments:

  1. Naona kwa mbali kuna watu wanatoka kuvua sana na wengine wanangoja kununua magege na vindongo au kambale na mbufu. Mwaka jana nilimkula mbufu pale Kumbamba by we bwana mmh sisemi sana nendeni mkajionee wenyewe bye.....

    ReplyDelete
  2. eeee ndiyo kuvua samaki ni jadi yetu

    ReplyDelete

Maoni yako