September 29, 2008

kama... kama ... kama nini?

aaaaaah acha niseme bwana kwani huwa siataki ushahidi mwenzenu bali naweka tu hapa mjionee ninayoyaona miye.mengine niliyaona kale lakini nilikuwa haifadhi bila kujua wapi nitaweka lakini shajara zinarahisisha mambo kama hivi. Hivi ni kama... kama.. kama nini? eti unaonaje?

3 comments:

  1. Jamani nimekumbuka mbali sana mmh maisha basi tu. Kwenda mstuni kutafuta kuni tena afadhali hata huyo dada amevaa viatu ili asichomwe na miba. Unafunga limzigo mpaka shingo (kichwa) kinakubali sheria. Nampongeza mtoto mgongoni na limzigo la kuni kichwani. Kwa nini baba mtoto asimsaidie kutunza mtoto? Hili ni swali tu. Naona kiswahili changu kimepotea bado sijaelewa nini maana ya kama...kama.. kama nini? nisaidieni

    ReplyDelete
  2. Nimeshukuru kwa kuendelea kujulisha umm kupitia blogu rafiki yangu mbona siku hizi hunikumbuki uko wapi?

    ReplyDelete
  3. nakukumbuka sema tu kazi nyingi mwanawane si unajua majukumu hapa nyasa ni mengi sana.

    ReplyDelete

Maoni yako