December 16, 2008

tunasaka kitoweo cha Noeli hii

nadhani haya mambo toka babu na bibi mpaka mjukuu anatumia tu hakuna matata. jamani hebu waangalie mazingira yao ya kazi, yanakufikirisha? mimi sijui bwana

2 comments:

  1. Jamani kweli kula kuna kazi bila kufanya kazi hakuna kula angalia hapo watoto wanajitahidi tena wamebeba na wadogo zao mgongoni. Nimekumbuka mbali sana nilipokuwa na umri huo mdogo wangu mgongoni na kuchota maji au kutwanga. Nawatakia mafanikio mema na pia mpata hicho kitoweo cha Noeli.kazi kwelikweli.

    ReplyDelete

Maoni yako