July 13, 2008

Asante Yasinta kwa kumbukumbu

3 comments:

  1. Anonymous13 July, 2008

    Hapa inaonekana ni kazi kubwa sana sio tanuri la tofari hili au nimekosea

    ReplyDelete
  2. Anonymous14 July, 2008

    habari ndiyo hiyo...hapa kazi tu

    ReplyDelete
  3. Hapa inaonesha kama miti haipandwi basi kuna deforestation ya nguvu na pia kama aina ya miti (species) haizingatiwi kutumika basi tunaweza kuangamiza miti ambayo kuipata tena ikawa kasheshe.

    ReplyDelete

Maoni yako