December 30, 2008

wazee wa kazi ndiyo zetu

tunavua hivi na tunafanya hivi kama tupendavyo. kazi ipooooooooo

2 comments:

  1. hii picha umeitoa wapi? nimeipenda sana

    ReplyDelete
  2. ha ha ha ha ha ha ha Fita kaka haya mambo ya nyasa yaani yamejaa boksi zima hadi naona takataka tu wakati mwingine. Na kama siyo blogu sijui pengine ningechoma moto.
    Usijali karibu nyasa. Tafadhali mpitie na dada Koero katika blogu yake tumuunge mkono sana tu maana haya mambo ndiyo mazuri kwani mhariri anaweza kuwa msomamji na msomaji kuwa mhariri

    ReplyDelete

Maoni yako