December 01, 2008

zawadi yako dada YASINTA

Ngoja nikupe zawadi nzuriiiiii sana dadangu kwani umenifanyia kazi nzuri katika blogu yangu. Hebu tazama hapo hilo ua vipi, ni kwaajili yako dada Yasinta na familia yenu yote.ASANTE.

10 comments:

 1. asante sana Markus. Na karibu sana kwani kila mtu anahitaji msaada nami siku moja nitahitaji msaada wako.Asante tena

  ReplyDelete
 2. ASANTE dadangu kwani naamini duniani tupo kwa ajili ya wengine. nashukuru ndiyo maana nimekupa zawadi hiyo, kwako na familia yote au vipi mtu wangu. PAMOJA DAIMA.

  ReplyDelete
 3. au nikutumie na BIA unywe ha ha ha ha haha ha Mwambie na kaka Simon lakini kila mmoja atapata yake sawa????

  ReplyDelete
 4. Shukrani shukurani na hiyo bia lete naitamani kweli

  ReplyDelete
 5. Bila shaka dada Yasinta umeifurahia sana zawadi hiyo. Markus, umejua kuchagua maua. Bila shaka yule uliyemtungia shairi ana shehena ya maua.
  Jamani, nazikubali sana kazi zenu.
  Ni hayo tu.
  Alamsiki.

  ReplyDelete
 6. Ninashukuru kwa kumpa zawadi dada yetu Yasinta bila shaka ameipokea kwa nguvu zote lakini napenda kumuambia yasinta kuwa zawadi ni kitu kimoja kizuri sana hata kama iwe big Ji. Yapaswa kushukuru sana.

  ReplyDelete
 7. @Markus: Mbona bia bado sijapata:-)

  ReplyDelete
 8. Ni kweli Simon hata mimi sijapata hizo bia.

  ReplyDelete
 9. jamani walevi utawajua tu mnaona wanavyonikaba kabali hapa kuhusu BIA zao?? dada Yasinta na kaka Simon nimeghairi kuwapeni BIA nimepanga kununua vidonge vya unywaji wa Mpango maana hizi BIA zinaweza kuvunja nyumba

  Kaka Fadhy Mtnga, asante sana , unajua nimetoa zawadi nikiona ya kawaida sana sikujua kama ni nzuri kama uzri ambao niliuona mimi. Yale mashairi bwana ha ha ha ha ha ha unayakumbuika sana, yaani ile ni MGUMU anakuwa Lini kidogo maana ukiwa MGUMU sana kama KRS ONE nako noma ha ha ha ha ha MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA nyote jamani Fita mtu wangu PAMOJA DAIMA.

  ReplyDelete
 10. mmmmm kaka Fadhy Mtanga umeanza kunipeleleza nimegundua umegundua kitu. hapana bwana ni mambo ngojea nitaweka hapa baada ya SHAIRI nini kimetokea raha bwana blogu ati wengi wanataka kuacha au wamesusa

  ReplyDelete

Maoni yako