August 17, 2007

HUYU HAPA..

Kwa wapenzi wa filamu lazima wamtambue huyu kijana wa kitanzania ambaye anafanya vitu vyake huko majuu..
Nani huyo?
Ingia hapa...<strong>www.kibirafims.com au www.tzuk.net

2 comments:

  1. Hakana shaka waliopo majuu wanatuelisha namna dunia ilivyo,hivyo kila mtanzania anapaswa kujua kwamba majuu si suluhisho

    ReplyDelete
  2. kama kweli ni majuu pekee ndipo tutapata maisha bomba basi tunakosea sana tena kwa kiasi kikubwa tu

    ReplyDelete

Maoni yako