August 14, 2007

CHIPUKIZI NIMEKARIBIA BLOGUNI

Naam kwa wakongwe na vijana wengine,nieleweni kwamba ndio kwanza nimeingia katika
mfumo huu mpya ambao nadhani ni tiba tosha ya uzushi wa habari za mitaani na magazetini.
ni kwamba ninahamu sana ya kuongea na nanyi katika mtandao au wakubwa manasemaje?
salaaaaam toka kwa mja wenu toka huko ziwani nyasa ambako bunge metu linadai linatupelekea samaki wengine baada ya kuisha yaani tumekula hadi vifaranga vya samaki
usishangae ndio maisha hayo au vipi wakubwa.
nikaribisheni kwa nia njema.

Markus Mpangala

2 comments:

  1. Haya kwanza najikaribisha mwenyewe,
    Pili nimkaribishe ndugu yangu Ndesanjo Macha.
    Tatu ndugu Simon Regis
    waooooo

    ReplyDelete

Maoni yako