June 03, 2008

Na Usafiri ndiyo Huo........ karibuni Nyasa

Hii ni Mv Songea ni meli ya kuaminika sana wala usihofu kama hayo magaro yenu ambayo ajali ni kama amri za usafiri wenyewe.Hii ni meli kubwa katika ziwa nyasa upande wa Tanzania.Na ile ndogo inaitwa Mv Iringa.Hapo ipo kazini na bila shaka kina Mzee Bukuru wapo ndani.Imenikuana sana Nyasa,yaani hii ni ari ya zamani,kasi ya zamani na nguvu za zamani...au unasemaje dadangu hapo ruhuwiko ya ughaibuni

2 comments:

 1. Anonymous03 June, 2008

  nipo nawe kakangu ama kweli unajua kuchimba mambo

  ReplyDelete
 2. MZEE BUKURU BADO YUPO KWENYE HIYO MELI...?
  LONG TIME AGO..NIMEIPENDA HII BLOG NDIYO LEO MY FIRST DEI NAIVISIT...!!
  KAMA HUYO MZEE BADO YUPO BASI AKISTAAFU WAMPE IWE YA KWAKE!!!

  HIVI ILE MELI ALITUAHIDI PREDAA IMEFIKIA WAPI WAJAMENI...?

  ReplyDelete

Maoni yako