May 30, 2013

USHAURI WA BURE WA MWENDAWAZIMU MNYASA ILI KUZUIA UCHOCHEZI-NATOA CHANGAMOTO


USHAURI WA BURE WA MWENDAWAZIMU MNYASA ILI KUZUIA UCHOCHEZI
.....Mkitaka kuzuia UCHOCHEZI basi ni rahisi sana.
1.Pandisha kodi za viwanda vyote vya uchapishaji magazeti,majarida ili Wananchi tuwe majuha akili isifikiri.
2. Fungia Televisheni na Redio zote kote nchini ili wananchi wasikilize wala kusoma Hotuba za Wizara zozote.
3. Piga marufuku somo la URAIA/ELIMU YA URAIA shuleni ili wananchi wasijue haki zao.
4.Futa vyama vyote vya siasa na AKILI ZETU ZIWEKEWE LUKU.
5. Tukimbize Mwenge kila mwaka tukiwa na njaa.
6. Futa bodi ya Mikopo elimu ya Juu na futeni vyuo vyote kote nchini.
ONYO: Hakuna waziri wa Haki ila kuna Waziri wa Sheria.
ONYO: Neno hili sio sheria ila niko MAWAZONI.

.................KISHA TAZAMA HIYO PICHA YA WODI YA WANAWAKE KATIKA HOSPITALI MOJA HAPA NCHININo comments:

Post a Comment

Maoni yako