July 12, 2008

Jioni Njema Nyasa

Jua linatua magharibi yaani machweo.Hivi ndivyo linavyoonekana

1 comment:

  1. ni mwanga mtamu kama asli,ni murua kama ua la sita,ni maridadi kuliko uzuri wake,ni kama nimetua mahali alipopateua mola.Nikiwa mbali nalilia nyasa yangu,nikiwa mbali nakumbuka ladha na ujumbe muru unaonisisimua nafsi.Nikikumbuka asili yangu hapa najikuta naweweseka kwa raha...hakika nakupenda sana nyasa

    ReplyDelete

Maoni yako