July 11, 2008

Panaitwaje Vile? Lundu

Hapa ni moja ya maeneo ya Lundu yaani hapa ndipo ukurasa mkuu wa maisha yangu ulipo.Hapa ukitazama unaona mlima huo,halafu uapnde wa kushoto ndiko uelekeo wa bandari ya Lundu ilipo.Mv Iringa na Mv Songea hutia nanga hapo,hapaonekani yaani ni kushoto zaidi kwahiyo picha ilitaka mlima.Ni ukurasa mkuu wangu wa maisha,mwone mnyasa yupo kazi na zana

1 comment:

  1. wavuvi ndiyo zetu....kupalaza mtumbwi ndiyo zetu....kama hivyo au mnachukia jamani

    ReplyDelete

Maoni yako