July 10, 2008

Siyo Uvuvi pekee .....hata usafi pia

Ukanda wa ziwa nyasa unategemea sana maji ya ziwa nyasa kwa matumizi ya nyumbani.Wengi wamenufaika na ziwa hili kwani maeneo mengi hayana maji ya safi ya bombani.Achila mbali maeneo ya kama Mba Bay,Lundo,Chinula,Liuli na Lituhi lakini maji kwa maeneo mengi ni suala sugu.Kwa mbali wanaonekana watu wakifanya usafi wa nguo zao.Lakini yule mbunge wake sijui anafanya nini kila siku anatetea chama chake cha majambazi

1 comment:

  1. hata hao wabunge wasipotekeleza ahadi zao za maji ya bomba mbona ziwa letu linatupatia maji haya hata kama tutaambiwa si salama lakini mungu yuko pamoja nasi

    ReplyDelete

Maoni yako