July 09, 2008

kumbukumbu Profesa Chachage S Chachage

"Laiti kama wahenga waliomwaga damu yao takatifu katika vita ya ukombozi ya Majimaji wangalifufuka leo na kuwasikia wajukuu wakiusifia ubeberu na ukoloni mamboleo,bila shaka wangewakana na kulaani kwamba huu sio uzao wao"........"Utii bila uhuru ni utumwa" Jamani leo ni kumbukumbu ya mwanafalsafa wa kitanzania ambaye alifariki julai 9 2006.leo ni miaka miwili kamili tangu alipofariki.Tafura kitabu chake maridadi cha MAKUADI WA SOKO HURIA. Unajua kama mzee mkapa yule rais aliyestaafu alimchukia sana Chchage?Huyu alikuwa katika sayansi ya siasa UDSM-mlimani.Hayo ni moja ya maneno yake,huyu jamaa alikuwa kiboko waulize watawala wa enzi za mkapa.Mungu amlinde daima

1 comment:

  1. namkumbuka sana huyu jamaa kwani falsafa zake ndiyo ukombozi mkubwa unaotumiwa na wanachuo wengi pale mlimani hasa katika eneo la Revolusheni skuea. mojawapo ilikuwa "utii bila uhuru ni utumwa"

    ReplyDelete

Maoni yako