July 14, 2008

uzuri wa nyasa?ngoja nikuambie

Tazama vizuri usije ukafikiria hapa ni peponi..natania lakini karibu nyasa

3 comments:

 1. asante nimeshafika si unaona hizo taulo hapo ni zangu aise kunapendeza sana

  ReplyDelete
 2. Nimekubali kwamba hiyo pwani/beach si utani inabidi niiweke kwenye ratiba zangu kuja kuitembelea kwani naona dada Yasinta mwenzangu Vacation ilikuwa safi sana.

  Kaka Mpangala nipishe nakuja mwakani 2009 kweli huko ni kuzuri sana.

  ReplyDelete
 3. Karibu ....karibu...karibu mgeni... hapa ndiyo nyumbani...maskani wala usione soni...sema unachotaka mgeni....usijali utapa....lakini sisi wanyasa hatuna halua na tende....lakini karibu karibu...mgeni hapa ndiyo nyumbani...karibu sana nyasa unataka samki gani?kambale,mbufu.ngorokoro,magege,mandongo,vituwi,mbasa,mambapela,manswena,dagaa, au ni sema tu mgeni vyote ni kwa ajili yako tu sema au tukuandalie ile mboga ya kuanikwa juani mpuchulela,unataka viazi?nini kumbikumbi,au tukuletee pombe ya komoni,chimpumu,myakaya? basi twende ukaone pale walipopigana wangoni na wanyasa ambapo hata katika viatbu hapajaandikwa.karibu nyasa

  ReplyDelete

Maoni yako