August 18, 2008

historia hii

nimelikumbuka kanisa hili lipo pale Makwai au nakosea dadangu Yasinta.nakumbuka enzi zile nikiwa lundo

4 comments:

 1. markus mpangala23 August, 2008

  acha kunizuga dadangu naona unaleta habari zako kwamba hili ni kanisa la ifinga,we mimi siamini hata unitishie kuninyima samaki ngorokoro,hebu angalia watu anafanya mazoezi ya kutembea peku

  ReplyDelete
 2. angalia kwenye blog yngu utaona kanisa la makwai kakangu

  ReplyDelete
 3. markus mpangala27 August, 2008

  mmm bado lakini poa dadangu umeshinda maana najua nikibisha utasema nadadisi.
  kwaheri

  ReplyDelete

Maoni yako